Imekuwa ikinisikitisha, mara nyingi, kila nisomapo mada mbalimbali hapa, JF. Kuhusiana na matumizi mabovu ya lugha ya kiswahili, neno kama UDHIBITISHO, inaandikwa USIBITISHO, neno NAAMINI, inaandikwa NAMINI, neno LUGHA, inaandikwa LUGA, ah! Inasikitisha. Hivi somo la fasihi na dhima za lugha siku hizi hakuna?
Kweli wengi hatujui Kiswahili hivi ni UTHIBITISHO au UDHIBITISHO?"Udhibitisho" maana yake nini?
Kweli wengi hatujui Kiswahili hivi ni UTHIBITISHO au UDHIBITISHO?
Kweli wengi hatujui Kiswahili hivi ni UTHIBITISHO au UDHIBITISHO?
Imekuwa ikinisikitisha, mara nyingi, kila nisomapo mada mbalimbali hapa, JF. Kuhusiana na matumizi mabovu ya lugha ya kiswahili, neno kama UDHIBITISHO, inaandikwa USIBITISHO, neno NAAMINI, inaandikwa NAMINI, neno LUGHA, inaandikwa LUGA, ah! Inasikitisha. Hivi somo la fasihi na dhima za lugha siku hizi hakuna?
Ametoa kauli THABITI, THIBITISHA kauli yako, DHIBITI rushwa. Kiswahili hicho!