Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

atakayetaka mji, nampa mabwepande...
 
Oya msinitanie jibuni Kitendawili changu.
"Nina Mti wangu wa ajabu,matawi yake Huchipukia kwenye mizizi"
Toeni majibu haraka.
Mshindi atakuja kuniogesha
 
Oya msinitanie jibuni Kitendawili changu.
"Nina Mti wangu wa ajabu,matawi yake Huchipukia kwenye mizizi"
Toeni majibu haraka.
Mshindi atakuja kuniogesha
Akishakuogesha mi nakuchora tattoo, si eti eh?

Akishakuogesha mi nakuchora tattoo, si eti eh?

Mh!
Asprin naogopa ,
si unaona hyo ncha ya mchoro ilikoelekea huko ndani?
Sasa takuwaje tena n'kitaka nikauke?
N'navua Sivui...!?!?
 
Last edited by a moderator:
HAAAAAAA, haya nakupa mji nenda Kiboriloni! mama

Naenda kwa kuwa Wafanyakazi wenzangu wengi wanatokea huko.

Jibu lake ni Roketi Inaporuka

Kitendawiliii...
Akiondoka, Mzungu,
Akirudi, Mwanajeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…