Kiswahili na misamiati yake

Kiswahili na misamiati yake

Turbin

Member
Joined
Jan 31, 2016
Posts
6
Reaction score
2
Nilikua nacheza game moja hivi linaitwa #swahiliwordcross, nimefanikiwa kutoka na haya maneno machache nikaona ngoja nilete huku tuendelee kuchambua Kiswahili kwa njia zote.

VIJULANA WENZANGU MSISAHAU KUPATA SHARUBATI NA UDOHOUDOHO SIKU MOJA MOJA.

nimeounda sentensi hio, mwenye maana yake kwa maneno yetu tuliyoyazoea, atushirikishe pia.
 
Back
Top Bottom