Kitabu cha Kiswahili 'Bidhaa Adimu: Jiajiri' sasa kimeshachapishwa Dar es Salaam na kitaanza kupatikana madukani hivi karibuni. Ukisoma kitabu hiki wewe mwenyewe utachukua hatua ya kujiajiri au utatengeneza ajira kwa wengine. Nitawajuza namba za simu za muuzaji au mahali ambapo kinapatikana. HIMA, INUKA MTANZANIA...KITEGA UCHUMI UNACHO ...JIAJIRI SASA.