Kiswahili ni lugha adhimu

Sielewi maana ya Adhimu hata wazazi wangu hawaelewi. Ila siyo Lugha ya Science na Technology. Huwezi kuwa mwanasayansi kwa Kiswahili kamwe. Huwezi kutengeneza Space Craft kwa Kiswahili, huwezi kuvumbua Gas kwa Kiswahili. Huwezi kutibu mgonjwa wa moyo kwa Kiswahili
 
Pia kuna hii:
Enzi zile wanaTANU walikisifia na kukipongeza chama chao kwa kuleta uhuru.Wakaanza kuwaza: kama TANU haingekuwepo wangeendelea kuwa watumwa wa mkoloni. Hivyo, wakaandika kwenye mabango: KAMA SI TANU TUNGEKUWA WAPI?
Kwa haraka iko hivi: KAMASI TANU TUNGEKUWA WAPI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…