Kiswahili ni lugha ya ngapi kwa ukubwa duniani?

Kiswahili ni lugha ya ngapi kwa ukubwa duniani?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Naomba mwenye kufahamu kiswahili ni lugha ngapi kwa ukubwa wa wazungumzaji duniani. Je, kwenye lugha 10 ipo?

Naomba source ya kuaminika (ranking)

Maana mkuu katika hotuba yake fulani inayorudiwa rudiwa amesema ni kati ya lugha 10 zinazozungumzwa duniani.

Naomba mwenye source ya kuaminika
 
Nasubiri jibu pia ila naamini ni miongoni mwa lugha kubwa sahivi hususan hapa africa
 
Ukitoa baadhi ya nchi za afrika wanaoongea lugha ya kiswahili, uarabuni pia wanaongea and still wengi hujifunza hii lugha, hususan Oman almost 50 percent ya waOman they speak swahili language, naweza sema ni nchi ya pili ama ya 3 duniani watu wake wanaongea kiswahili kizuri kuliko hata sisi watanzania.
 
Back
Top Bottom