Ukitoa baadhi ya nchi za afrika wanaoongea lugha ya kiswahili, uarabuni pia wanaongea and still wengi hujifunza hii lugha, hususan Oman almost 50 percent ya waOman they speak swahili language, naweza sema ni nchi ya pili ama ya 3 duniani watu wake wanaongea kiswahili kizuri kuliko hata sisi watanzania.