KISWAHILI: NIMEPENDA UFUNDISHAJI WA HUYU DADA

KISWAHILI: NIMEPENDA UFUNDISHAJI WA HUYU DADA

hiram

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
266
Reaction score
393
kwanza ametandika KANGA mezani ili kureflect culture ya mswahili, halafu anazungumzia terminology za kiswahili sana kama MTANDIO.
SWALI FIKIRISHI: Hivi culture ya mtanzania ni mitandio na kanga au mavazi ya kimasai?
 
Masai wapo hata Kenya so sio mavazi ya kitz
 
Maneno tu yanasahaulika mapema, ila picha inaongeza kumbukumbu.
Ni mfano wa kuiga na ubunifu mzuri katika kufundisha
 
Back
Top Bottom