hiram JF-Expert Member Joined Aug 1, 2013 Posts 266 Reaction score 393 Oct 11, 2017 #1 kwanza ametandika KANGA mezani ili kureflect culture ya mswahili, halafu anazungumzia terminology za kiswahili sana kama MTANDIO. SWALI FIKIRISHI: Hivi culture ya mtanzania ni mitandio na kanga au mavazi ya kimasai?
kwanza ametandika KANGA mezani ili kureflect culture ya mswahili, halafu anazungumzia terminology za kiswahili sana kama MTANDIO. SWALI FIKIRISHI: Hivi culture ya mtanzania ni mitandio na kanga au mavazi ya kimasai?
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Oct 11, 2017 #2 "....Hivi culture ya mtanzania ni mitandio na kanga au mavazi ya kimasai? " Yote ni majibu kwa maana tuna makabila tofautitofauti
"....Hivi culture ya mtanzania ni mitandio na kanga au mavazi ya kimasai? " Yote ni majibu kwa maana tuna makabila tofautitofauti
naumbu JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 4,717 Reaction score 8,083 Oct 11, 2017 #3 Masai wapo hata Kenya so sio mavazi ya kitz
Moe Szyslak JF-Expert Member Joined Nov 6, 2016 Posts 354 Reaction score 702 Oct 11, 2017 #4 Maneno tu yanasahaulika mapema, ila picha inaongeza kumbukumbu. Ni mfano wa kuiga na ubunifu mzuri katika kufundisha
Maneno tu yanasahaulika mapema, ila picha inaongeza kumbukumbu. Ni mfano wa kuiga na ubunifu mzuri katika kufundisha