Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Jamani mtanisamehe kama hili lilishaulizwa lakini itakuwa pia kwa faida ya wale ambao hawakuona hapo kabla, haya maneno naona yamekuwa yakitumiwa kwa maana nyingi tofauti, je kuna mwenye kiswahili sanifu? kama ukiweka na chanzo itakua vyema zaidi