Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,258 Apr 30, 2012 #1 Jamani mtanisamehe kama hili lilishaulizwa lakini itakuwa pia kwa faida ya wale ambao hawakuona hapo kabla, haya maneno naona yamekuwa yakitumiwa kwa maana nyingi tofauti, je kuna mwenye kiswahili sanifu? kama ukiweka na chanzo itakua vyema zaidi
Jamani mtanisamehe kama hili lilishaulizwa lakini itakuwa pia kwa faida ya wale ambao hawakuona hapo kabla, haya maneno naona yamekuwa yakitumiwa kwa maana nyingi tofauti, je kuna mwenye kiswahili sanifu? kama ukiweka na chanzo itakua vyema zaidi
Kombo JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 1,812 Reaction score 511 Apr 30, 2012 #2 Lobbying= Ushawishi Advocacy= Utetezi
Tuyuku JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 3,292 Reaction score 1,927 May 25, 2012 #3 Advocacy ni uraghibishi.