Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,462
Habari zenu wanajamii,najua hili ni jukwaa la waungwana naomba kuelimishwa kuhusu hili,kati ya lugha ya kiarabu na kiswahili ni ipi imecopy maneno kutoka lugha nyingne maana nimegundua lugha hizi mbili zinaingiliana kwa maneno mengi sana tena yakiwa na maana 1,ntatoa mfano baadhi tu ya maneno,au majina ya vitu,
1,Dirisha,Dirsha,
2,Karatasi,Kartasi
3,Debe,Dabba,
4,Shukrani,Shukran
5,Ahsante, Ahsante
6,Samaki, Samak
7,Yaani, yaani
8,Mustakbali-mustakbal
9,Lugha, lugha,
10,Madarasa,Madrasa,
Na mengine mengi japo siwezi kuyaandika yte,hebu wajuzi nijuzeni lugha ipi imecopy kwa mwenzie,pls hili ni jukwaa la lugha kabla hujachangia naomba ufaham hilo,kama huna cha kuchangia pia ni busara kukaa kimya,nawasilisha