Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kabila wana uitaji wake, wengine mke wa mjomba huita MKWE, ajabu huko Kahama nikawasikia watoto wa kisukuma wanamuita mke wa mjomba wao nae MJOMBA vilevilemaana nimemuita mke wa mjonga angu shangazi , nikaonekana kitu au kila kabila na utamaduni wake?
"Mkaza mjomba" huku kwetu unasomeka saafi kabisa.Wataalam wa kiswahili, anayejua maana ya maneno haya atupe maana
SHANGAZI ni nani?
(¡) Mke wa mjomba
(¡) Dada au mdogo wake baba
Shangazi wa asili ni dada au mdogo wa kike wa baba yako.SHANGAZI ni nani?