E ELITE New Member Joined Nov 16, 2011 Posts 2 Reaction score 0 Nov 17, 2011 #1 hivi,upi ni usemi sahihi,kwa mfano ukikaribishwa kwenye nafasi fulani uongee,Kutumia maneno"Napenda kuchukua nafasi hii" au "Napenda kutumia nafasi hii"?
hivi,upi ni usemi sahihi,kwa mfano ukikaribishwa kwenye nafasi fulani uongee,Kutumia maneno"Napenda kuchukua nafasi hii" au "Napenda kutumia nafasi hii"?