Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Wanyakyusa kijiko wanaita spuni(Spoon)Ni neno gani la kiingereza au lugha nyingine ambayo tumezoea sana hadi tumesahau kwamba sio kiswahili kama Hello( Halo) tukipokea simu😃
Oyaaa we ni mzee wa kandeteWanyakyusa kijiko wanaita spuni(Spoon)
Lusanje,kandete ilikuwa mitaa ya kujidai kila Jumapili!Oyaaa we ni mzee wa kandete
Hahaha ilo jina lako ndo limenishtua, nilikipiga hapo miaka kadhaa nyuma.Lusanje,kandete ilikuwa mitaa ya kujidai kila Jumapili!
Huko kwa babu zangu mzaa mama,miaka 1987_90 kwa Sasa nipo Dodoma _karibu.Hahaha ilo jina lako ndo limenishtua, nilikipiga hapo miaka kadhaa nyuma.
Ok!Huko kwa babu zangu mzaa mama,miaka 1987_90 kwa Sasa nipo Dodoma _karibu.
MpiraKondomu
Kompyuta ni Talakirishikompyuta,
calculator