Kiswahili

Kiswahili

MAYOUB

Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
13
Reaction score
3
Naomba ufafanuzi wa maneno yafuatayo:
1.kamusi wahidiya
2.rejesta
3.misemo
4. Rahaja
5. Lugha ya mazungumzo
 
1.kamusi wahidiya ni aina ya kamusi inaumia lugha moja kutoa maana/maelezo/ufafanuzi wa neno
2.rejesta ni lugha inayotumika katika muktadha maalumu
3.lahaja(sio rahaja)ni mfumo wa lugha ambao hutofautisha mtumiaji au watumiaji wa lugha kimatamshi,kimuundo n.k
 
Back
Top Bottom