sio lugha ya biashara....haina ladha kutamka, haina ufahari kutamka, imekaa kibabaishaji zaidi .... na ndio maana sisi wenyewe tukikuita wewe ni mswahili ujue tuna maanisha wewe ni mbabaishaji....yaan wewe unaongea usichokiamini, usichokielewa, yaan yes kwako yaweza kuwa no .... si unaona hata viongozi wetu hawaipi promo km viongozi wa kichina wanavyoipa promo lugha yao wenyewe....kisa haina soko!!!!