Sasa si ndio Ki Swanglish hicho, kuchanganya English na Kiswahili ndio Sanaa ya lugha? Lugha ipi ? English au Kiswahili?Hiyo ni sanaa ya uandishi, mfano uchumi house, biashara house, mafao haouse nk, haya majengo yote yapo miaka mingi
Sanaa ya uandishi wewe unabadilisha unasema sanaa ya lugha?😂halafu kwani ni lazima upingane na mimi muda wote? Nilikukosea nini we jamaa?Sasa si ndio Ki Swanglish hicho, kuchanganya English na Kiswahili ndio Sanaa ya lugha? Lugha ipi ? English au Kiswahili?
nimepingana na wewe muda wote? mbona hata sikujui zaidi ya kuona comment yako na kujibu kama ninavyojibu comment nyingine?Sanaa ya uandishi wewe unabadilisha unasema sanaa ya lugha?😂halafu kwani ni lazima upingane na mimi muda wote? Nilikukosea nini we jamaa?
Hivi kuchanganya kiswahili na kingeleza Tanzania tunafeli wapi huyu Alie Andika kwenye jengo hili vipi jengo la CCM Dodoma la Uchaguzi (UCHAGUZI HOUSE) neno UCHAGUZI halina Kiingereza au neno HOUSE halina Kiswahili?
Hapo neno HOUSE halina Kiswahili na neno UCHAGUZI halina Kingereza yake au mbona sielewi hapo, we umelewaje hapoView attachment 1529541
Sawa beberunimepingana na wewe muda wote? mbona hata sikujui zaidi ya kuona comment yako na kujibu kama ninavyojibu comment nyingine?
Election kwa kiswahili Nini mkuuHabari muheshimiwa!! Hapo hakuna kiswanglishi ni vile tu wewe hujaelewa, nami nakuelewesha kama ifuatavyo:-
Katika hilo jengo neno "UCHAGUZI" limetumika kama jina la jengo husika. mfano jina GRACE kwa kiswahili ni NEEMA, lakini katika uitaji wa majina mtu mwenye jina la GRACE huwezi kumuita NEEMA akakuitikia maana utakuwa umempotezea utambulisho wake na haki zake, vile vile kwa mtu mwenye jina la NEEMA.
Hivyo jina la Mtu au kitu huitwa kama lilivyo bila tafsiri.
Election kwa kiswahili Nini mkuu
iyo Kuanzia leo ni ELECTION HOUSE ova.brabra hatutaki sijui mkapa house au grace house unaweza ukabatizwa na neno UCHAGUZI Kama munesema ni jina majina hayawani hayo Kama vile upepo mwangwi sauti mungu shetani n.k