Habarini wakuu,
Ikitokea mtu amekupa mtaji labda wa shilingi millioni arobaini za kitanzania. Akataka kila mwezi katika kila millioni moja uumpe faida ya shilingi elfu arobaini ina maana kwa millioni arobaini umpatie millioni moja na laki sita kila mwezi ili hali millioni arobaini yake iko palepale. Je unaweza kufanikiwaje na wewe ufaidike?