Mnafunga mkataba wa mwaka mmoja mmoja. Ukionesha kufanya vizuri mwaka ukiisha anakuongezea mwaka mwingine.kwa mda gani mkuu
Kumbe maisha ndiyo marahisi hivi.!Ngoja nijitahidi kufumbua fumbo la mashine ni za nini hasa.?Yes naweza milioni 40, nitanunua mashine 2 (Kuhusu machine za nini sisemi hapa) moja kwa 15M *2 =30M
Milioni 5 zitatosha installation fees 5 iliyobaki nanunua bond za 15.4%...
Siyo rahisi mkuu, kupata M15 unaona rahisi? Kulipa mtu 250,000 ,matumizi ya 1M unaona rahisi?? Ila hizi mashine return yake ni nzuri kuliko wanaowekeza kwenye bodaboda au bajaji kila moja itakupa 3M kwa mwezi ukitoa matumizi hukosi 1.3-1.8 hiviKumbe maisha ndiyo marahisi hivi.!Ngoja nijitahidi kufumbua fumbo la mashine ni za nini hasa.?
Analysis nzuri hasa, japokuwa changamoto ni kwamba mkataba wenu ni wa mwaka mmoja kwa hiyo kila mwezi unatakiwa uumpe 1.6M, na uendelee kuretain 40M yake.Yes naweza milioni 40, nitanunua mashine 2 (Kuhusu machine za nini sisemi hapa) moja kwa 15M *2 =30M
Milioni 5 zitatosha installation fees 5 iliyobaki nanunua bond za 15.4%...
Humesi machine ili tuje PM utupige. Ila sio mbaya kwanini usiende kukopa hiyo 40M ila ufungue. Andika proposal yako uipeleke kwa maboss wakupe helaYes naweza milioni 40, nitanunua mashine 2 (Kuhusu machine za nini sisemi hapa) moja kwa 15M *2 =30M
Milioni 5 zitatosha installation fees 5 iliyobaki nanunua bond za 15.4%...
Kaka hizo mashine kaka dah, fungua fumbo.Siyo rahisi mkuu, kupata M15 unaona rahisi? Kulipa mtu 250,000 ,matumizi ya 1M unaona rahisi?? Ila hizi mashine return yake ni nzuri kuliko wanaowekeza kwenye bodaboda au bajaji kila moja itakupa 3M kwa mwezi ukitoa matumizi hukosi 1.3-1.8 hivi
Ni umasikini tu..uwakala wa kimasikini..km vipi aweke mil 400 benk apokee riba ya mil 10 kwa mwez naninaHabarini wakuu,
Ikitokea mtu amekupa mtaji labda wa shilingi millioni arobaini za kitanzania. Akataka kila mwezi katika kila millioni moja uumpe faida ya shilingi elfu arobaini ina maana kwa millioni arobaini umpatie millioni moja na laki sita kila mwezi ili hali millioni arobaini yake iko palepale. Je unaweza kufanikiwaje na wewe ufaidike?
Kiongozi hizo mashine ushaanza kuzitumiaKaka hizo mashine kaka dah, fungua fumbo.
Daah bado fumbo kiongozi, sema siyo mbaya.Kiongozi hizo mashine ushaanza kuzitumia
Me sitaki uniambie hizo mashine ni zanini...nahitaj kujua Kama na wewe unatumia hizo mashineDaah bado fumbo kiongozi, sema siyo mbaya.
Mashine za kukoboa mpungaKaka hizo mashine kaka dah, fungua fumbo.
Ninayo moja mkuu, kuna role model wangu anazo Kama 25 natamani kufikia level zake πHumesi machine ili tuje PM utupige. Ila sio mbaya kwanini usiende kukopa hiyo 40M ila ufungue. Andika proposal yako uipeleke kwa maboss wakupe hela
ππππJF hapa kila mtu tajiri na kila mtu mjuaji Mimi nishajifunza kitu ambacho sikijui nitauliza!! Maarifa hayapatikani bure!! Ukipata bure huwezi kukithaminiMashine za kukoboa mpunga