Kitaalamu ina maana gani?

 

Ndio.
 
Leo hizi mada zimekuwa nyingi. Anyway Inategemeana na mwanaume, kila mmoja yupo tofauti.

Ila hiyo ya Kuunga bila chuma kulala ila uwalakini. Japo muda wa mashine kuinuka baada ya kumwaga unaweza tofautiana kati ya mwanaume mmoja na mwingine kutokana na mazingira ya tendo ( Hamu yake kwa mwanamke, afya ya akili ya mwanaume, usafi wa tendo, Staili ya tendo) na mengineyo.

Mfano kuna staili nikimuweka basi kuna mawili, tawahi kumwaga au kama nimemwaga chuma itainuka fasta.

Ni hayo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…