Kitaalamu mchezaji anatakiwa kupumzika muda gani kutoka mechi moja hadi nyingine

Kitaalamu mchezaji anatakiwa kupumzika muda gani kutoka mechi moja hadi nyingine

ngoja waje wataalam

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
si chini ya masaa 48 japo sio lazima iwe ivyo

Inategemea na vitu vingi, mechi ilikuwa home or away, against strong team or weak team, how many minutes did he play, how fit he is, Messi for example want to play all the games for full 90 minutes.
 
Inategemea chakula ulichotumia, kama unakula vitu vyenye protein kama karanga mbichi ,maziwa, nyama au dona la maana, utapumzika kama Dk 4 au zaidi kutegemea na utundu Wa demu
 
Back
Top Bottom