Kitaalamu Nyongo ya Mamba [crocodile bile] siyo sumu, wachina hutumia kama vumbi la Congo kwenye ngono

Ningeamini endapo ningesikia amesema alichukua sehemu ya nyongo na kuilamba au kuitafuna na aka survive
 
Mkuu unaandika kwa hasira kweli utadhani nyongo ya mamba sio SUMU.

Kulingana na maelezo niliyosoma hapo juu kuna process zinazofanywa kabla ya ku consumpt hiyo nyongo.

Kuna vitu vingi tu ambavyo vina sumu tena kali ila tunakula baada kuviandaa kwa utaratibu tuliyofundishwa.

Mfano kanda ya ziwa tunakula sana ugali wa mhogo, tukiwa wadogo na mpaka leo kuna mihogo huwa ina sumu tena kali sana. Ukila huo mhogo ukausindikiza na maji unafariki ndani ya muda mfupi.
Lakini kuna jinsi tunavyoindaa na inakuwa salama kwa kuliwa.

Kwa hiyo kuna hata wanyama wengi ambao wana sumu, Lkn wanaweza kuliwa baada ya kuwandaa.

Kwa hiyo mkuu Mokaze usipingane na watu wanaosema nyongo ya mamba ni sumu.

Na mimi nakwambia nyongo ya mamba ni sumu hatari sana. Kuna kabila X mkoa X miaka ya nyuma wameitumia sana nyongo hii kuua watu. Tena wametumia kwa umahiri mkubwa sana.

Kwa mfano mtu anaweza akukuwekea kwenye chakula na akajua kwa kipimo alichowekea kitakuua baada ya muda gani ili kupoteza ushahidi.

WANAOSEMA NYONGO HIYO NI SUMU SIO WAJINGA. Wana mifano mingi ya kimaeneo. Kuna watu walimuua mamba kwa kutokujua kwao waligawana nyama na kwenda kula. Kilichotokea ni historia kijijini.
 
Panya ndio kipimo chako, kinaweza kukuumbua. Indocide ni dawa inatumiwa na binadamu kutibu maumivu. Ukimlisha panya anakufa.


Haha kwahiyo unataka tumnyweshe mtu?
 
Tufanye tu real practical kwa kumnywesha panya hiyo nyongo tuone nini kinatokea hizo tafiti tuachane nazo kwanza.

Hivi maana ya tafiti ni nini sasa unafikiri aliuliza tu maswali bila kujilidhisha.
 
Bonge La Pointi hivi Watu wanapenda kusema tu ni sumu ili wapate sifa gani. Kama siyo Sumu wajaribu waone.
 
Tufanye tu real practical kwa kumnywesha panya hiyo nyongo tuone nini kinatokea hizo tafiti tuachane nazo kwanza.
Panya anaweza asilete matokeo chanya, sababu panya ukimnywesha 'indocid' kwake ni sumu inamuua, lakini kwa binadamu ni dawa.
 
Ningeamini endapo ningesikia amesema alichukua sehemu ya nyongo na kuilamba au kuitafuna na aka survive
Umesoma paper yake ya utafiti ujiridhishe alifanya nini kujua siyo sumu?
Kama kuna binadamu au mnyama alipewa ale unajuaje?
 
Bado hajatokea mtu wa kupinga huu utafiti.
 
“Crocodile bile is not poisonous at all. In fact, it is being dried at the crocodile farm in Kariba and crushed before it is sold to China where it’s used as an aphrodisiac,” Nyazema said.
Labda ni mamba wa huko Limpopo, ila wa huku kwetu bado ni sumu, sisi tunachovya mishale ya pinde humo tukidunga wezi usiku huohuo tunatangaziwa msiba
 
WACHINA NI WATU WAAJABU .NILIONA MAPISHI YAO WAKIPIKA MAYAYI NA KUCHANGANYA NA NYWELE ZA BINADAMU
 
Scientific proof,tupange tukunyweshe hiyo nyongo ya mamba ili uthibitishe.
Mpaka hapa hauna ushahidi.
Nilitegemea ungeleta cheti cha postmortem ya mwili wa mtu aliyekufa kwa sumu ya mamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…