kitaalamu tunatakiwa tunywe maji kiasi gani per day?

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
wataalamu naomba kuuliza hivi mtu anatakiwa kunywa kiasi gani cha maji kwa siku na akinywa kias gan itakuwa kazidisha? Heshima kwenu
 
Hakuna jibu la moja kwa moja kuwa ni kiasi gani cha maji kinahitajika kwa kusiku kwa inaweza kuwa tofauti kulingana na kazi mfano anayefanya kazi inamfanya atokwe jasho nyingi atahitaji kunywa maji zaidi,pia itategemea na hali ya hewa mfano joto sana/baridi, katika hali ya kawaida mtu anatakiwa anywe 3lita za maji au kuanzia glass 8-10 za maji.
 
ahsante mkuu. Mimi n mwanachuo hivyo sitokwi na jasho sana
 
Back
Top Bottom