Hakuna jibu la moja kwa moja kuwa ni kiasi gani cha maji kinahitajika kwa kusiku kwa inaweza kuwa tofauti kulingana na kazi mfano anayefanya kazi inamfanya atokwe jasho nyingi atahitaji kunywa maji zaidi,pia itategemea na hali ya hewa mfano joto sana/baridi, katika hali ya kawaida mtu anatakiwa anywe 3lita za maji au kuanzia glass 8-10 za maji.