kuna kitabu kimeandikwa na steve harvey kuwasaidia wanawake kujua nini wanaume wanataka katika suala zima la mapenzi na mahusiano, nikaona si vibaya niwadondoshee link kwa wale ambao wanapenda kusoma vitabu kama mimi ili kujiimarisha katika maswala haya