Kitabu alichoonesha Freeman Mbowe alipokuwa anaingia Mahakamani kina ujumbe gani?

Aliyempelekea hicho kitabu Mbowe amefanya jambo la heri. Mbowe ana NEGATIVITY sana na utawala wa Samia. Hivyo basi akimaliza kusoma kitamsaidia kuishi kama raia mwema
Huyo bi kidude ndio mwenye negativity na opposition sababu ya kutokujiamini. Yeye kila saa ameanza jinsia yake tu
 
Aliyempelekea hicho kitabu Mbowe amefanya jambo la heri. Mbowe ana NEGATIVITY sana na utawala wa Samia. Hivyo basi akimaliza kusoma kitamsaidia kuishi kama raia mwema
We kweli kiazi..yaani umesoma positive tu ukaoanisha na negative[emoji16]..wacha nami nikitafute
 
Sasa lengo la kuonesha hiko kitabu ili iweje Sasa Mimi sijaelewa
 
Aliyempelekea hicho kitabu Mbowe amefanya jambo la heri. Mbowe ana NEGATIVITY sana na utawala wa Samia. Hivyo basi akimaliza kusoma kitamsaidia kuishi kama raia mwema
Mawazo hovyo kama akili yako ikithibitishw na avatar yako. Vima kabisa.
 
Atanyanyua MAKU ya Komama
 
Ninaandika ninachofahamu na nilichokiona. Wewe ni mchanga sana kwenye duru za Siasa za upinzani.
Uchanga wangu na unguli wako ktk siasa za upinzan n ngumu kuthibitisha...amin unachoamin nam naamin ninachoamin...KWAN HAKUNA KITAKACHOPUNGUA
 
Nipo chapter ya 14, Relax for Easy Power... (Sijui na mimi nitashtakiwa kwa ugaidi?... Maana ma-ccm milioni nane yana mawazo matatu tu (General Ulimwengu))
 
Another kenge in town
Usimfananishe Mandela na vitu vya kipumbavu , Mandela hakuiba ruzuku za chama chake na alikuwa mwenyekiti kwa muda akwachia wengine sio huyu tapeli wa kisiasa

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…