Kitabu cha Abdul Sykes katika PDF

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Ata Huko Israel! Ni Mwengereza ndo Aliigawa Palestina na Israel😭So Sykes! Kwanza ni Msouth Africa! Aliekuwa Askari akapigana vita vya Dunia, then akabaki Tanganyika! Mimi apa naijua history yake yote mpaka alipataje pale ilipo nyumba yake pale mbele ya Rainbow Mbezi Beach! Waislam Tusome tuishike ELIMU DUNIA TUACHE NDOTO ZA ALINACHA! HAPA DUNIANI WANAWAKE ATUSALI NAO! AKHERA (PEPONI) TUNAPEWA WANAWAKE 72! HAWA WANATOKA UMATI GANI??MAKAFIR AU😁
 

Hao waislam ambao unasema wasome washike elimu Dunia ni waislam wa zama zipi?

Zile za kutaka hadi watu wasome basi lazima wale kitimoto au wabadili dini wasome shule za misheni au waislam wepi?

Kwa sababu nguzo kuu na amri ya kwanza Kwa muislam ni kusoma,Tena asome Kwa jina la mola wake alieumba viumbe vyote,Tena asome elimu zote ikibidi,Sasa unazungumzia waislam Gani?

Peponi hao wanawake wataopewa waislam ni wanawake wasafi,ni wanawake ambao yeye muumbaji anawajua zaidi kuliko sisi...!

Wewe unastaajabu sisi kupewa wanawake 72 huko akhera,king mswati ana wanawake wangapi hapo eswatini?mbona ni zaidi ya hao na hushangai?

Sisi tukipewa wanawake 72 wewe unaumia nini?

Na hata kama tunaongopewa ni sisi,ww unawashwa na nini?
 
Hakuna historia humo zaidi ya unafiki,uzandiki na uongo.

Kama hakuna history sawa,hujalazimishwa...na hujawekewa wewe.
Kama ulizoea kuongopewa Huko makanisani ni juu yako,makasiriko peleka Kwa paroko.
 
Tuliza kipago basi
 
Kwanini vitabu hivi haviandikwi Kiswahili wakati mtu anayezungumziwa hapa ni Mwswahili tena inawezekana akawa Mmanyema?
Vitabu vya Kiswahili vina Limited readership, ukitumia kizungu vina international readership ila wamevitafsiri Kiswahili.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…