Ngwathra,Mzee wangu utakua na stress sana nahisi, tangu umeanza kuandika haya mambo ya kutambulisha hizi jamii zako za kariakoo na masisiemu hata hayaelewi nimeanza kuona miaka mingi sana, nasikitika sana. Nasikia tu mara Mshume, Kiyate, Sykes, takadiri, Tambaza, Azizi, etc na Nyerere alivyowapindua, sijaona tija unayopata, kwa kuwa mama ni ndugu moja kwa nini usimpelekee tu ikulu, coz sisi kenge kama wanavyotuita hata hatusomi tukamaliza au kupata concept tu. au mpe mwaipopo na jeshi lake la chui watafikisha tu hatimaye historia itapindishwa tu na watakukumbuka! Nasikitika hizi stress zitakumaliza kabla ya siku zako, sorry km ipo personal sana ila I feel it na navaa viatu vyako ati!
Wasiwasi wangu hicho kitabu kimejaa upotoshaji, kitakuwa na mrengo wa kidini yaani uislam ndiyo maana kinauzwa msikitini. We mzee ungeunganisha watu badala ya kuwatenganisha! Tusome Historia iliyoandikwa kwenye vitabu rasmi siyo hivyo vya uchochoroniHapa jamvini kumekuwa na mjadala mkali kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika.
Watu wengi wamekuwa wakiniuliza kitabu kitapatika lini baada ya kuwa "out of print" kwa muda mrefu.
Nina furaha kuwafahamisha kitabu cha Abdulwahid Sykes kimewasili nchini na kwa sasa kinapatika Ibn Hazm Media Center Msikiti wa Manyema.
Mipango inafanyika In Shaa Allah kukitawanya kwenye maduka yao mengine Msikiti wa Mtoro, Mtambani na Kichangani.
View attachment 3623969
Nitakitafuta Insha-Allah.Hapa jamvini kumekuwa na mjadala mkali kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika.
Watu wengi wamekuwa wakiniuliza kitabu kitapatika lini baada ya kuwa "out of print" kwa muda mrefu.
Nina furaha kuwafahamisha kitabu cha Abdulwahid Sykes kimewasili nchini na kwa sasa kinapatika Ibn Hazm Media Center Msikiti wa Manyema.
Mipango inafanyika In Shaa Allah kukitawanya kwenye maduka yao mengine Msikiti wa Mtoro, Mtambani na Kichangani.
View attachment 3623969
Preciousvision,Wasiwasi wangu hicho kitabu kimejaa upotoshaji, kitakuwa na mrengo wa kidini yaani uislam ndiyo maana kinauzwa msikitini. We mzee ungeunganisha watu badala ya kuwatenganisha! Tusome Historia iliyoandikwa kwenye vitabu rasmi siyo hivyo vya uchochoroni
Nyakubonga,Kitabu cha historia ya Tanganyika kinauzwa msikitini...
Una uhakika hicho sio kitabu cha historia ya waislamu wa Tanganyika?
Takua wa mwisho kuamini kwamba kitabu cha historia ya nchi kinauzwa sambamba na hadithi za Muhammad(S.A.W)...
Ndugu zangu waislamu wameathiriwa sana na tamaduni za kiarabu...
Nakumbuka kipindi niko shuleni, kuna vijana wa kiislamu walikua wanalazimisha kila mtu aamini kwamba kiswahili ni kiarabu na sio kibantu...
Wengine wanalalamika kwamba waandishi kama Emmanuel Mbogo wanawachora wahusika wenye majina ya kiislamu kwa sifa mbaya kwenye tamthiliya zao...
Hapo nilijifunza, mwarabu aliacha Inferiority complex kubwa sana kupitia uislamu...
Leo Sehemu yeyote yenye dini kuanzia mbili, uislamu ukiwepo lazima kuwe na shida, tunaonewa tunaonewa tunaonewa...
Nigeria tunaonewa...
India tunaonewa...
China tunaonewa...
Tanzania tunaonewa...
Kenya tunaonewa...
N.k n.k n.k
Ndalichako ametufelisha waislamu
Leo kuna katibu mkuu muislamu, ufaulu ukoje kwa shule zenye waislamu wengi?
Leo Samia anaua, anaiba na kufanya kila aina ya uovu ila kwasababu ni mwislamu hakuna kelele na zikiwepo ni Udini...
Binafsi nikiangalia yote haya nahitimisha kwa kusema Uislamu na Unafiki vinakwenda sambamba...
Nyerere angewachekea kina Takadir leo tungekua kama Nigeria.
Nimeandika hayo yote kwasababu dhima kuu ya kitabu chako ni "waislamu tunaonewa"Nyakubonga,
Umeandika mambo mengi ambayo sioni mimi yananihusu vipi katika huu mjadala.
Lakini kitabu kipo kwa sasa miaka 28 na wasomaji wamekipenda sana.
Halikadhalika kwa zaidi ya miaka 10 kimekuwa kikijadiliwa hapa JF.
Kitabu hakiuzwi misikitini.
Fanya uchunguzi wako utabaini ukweli.
Nyakubonga,Nimeandika hayo yote kwasababu dhima kuu ya kitabu chako ni "waislamu tunaonewa"
Hicho kitabu kingekuwa na credibility, kingeuzwa kwenye masoko ya wazi...
Kinauzwa misikitini kwasababu kinawahusu zaidi waislamu...
Nilichokiandika kiko sawa kabisa...
Uislam ni UNAFIKI, UDINI, CHUKI, OMBA OMBA, kuabudu MWARABU na NGONOKitabu cha historia ya Tanganyika kinauzwa msikitini...
Una uhakika hicho sio kitabu cha historia ya waislamu wa Tanganyika?
Takua wa mwisho kuamini kwamba kitabu cha historia ya nchi kinauzwa sambamba na hadithi za Muhammad(S.A.W)...
Ndugu zangu waislamu wameathiriwa sana na tamaduni za kiarabu...
Nakumbuka kipindi niko shuleni, kuna vijana wa kiislamu walikua wanalazimisha kila mtu aamini kwamba kiswahili ni kiarabu na sio kibantu...
Wengine wanalalamika kwamba waandishi kama Emmanuel Mbogo wanawachora wahusika wenye majina ya kiislamu kwa sifa mbaya kwenye tamthiliya zao...
Hapo nilijifunza, mwarabu aliacha Inferiority complex kubwa sana kupitia uislamu...
Leo Sehemu yeyote yenye dini kuanzia mbili, uislamu ukiwepo lazima kuwe na shida, tunaonewa tunaonewa tunaonewa...
Nigeria tunaonewa...
India tunaonewa...
China tunaonewa...
Tanzania tunaonewa...
Kenya tunaonewa...
N.k n.k n.k
Ndalichako ametufelisha waislamu
Leo kuna katibu mkuu muislamu, ufaulu ukoje kwa shule zenye waislamu wengi?
Leo Samia anaua, anaiba na kufanya kila aina ya uovu ila kwasababu ni mwislamu hakuna kelele na zikiwepo ni Udini...
Binafsi nikiangalia yote haya nahitimisha kwa kusema Uislamu na Unafiki vinakwenda sambamba...
Nyerere angewachekea kina Takadir leo tungekua kama Nigeria.
Inasikitisha sana mkuu...Uislam ni UNAFIKI, UDINI, CHUKI, OMBA OMNA na NGONO
Nyakubonga,Nimeandika hayo yote kwasababu dhima kuu ya kitabu chako ni "waislamu tunaonewa"
Hicho kitabu kingekuwa na credibility, kingeuzwa kwenye masoko ya wazi...
Kinauzwa misikitini kwasababu kinawahusu zaidi waislamu...
Nilichokiandika kiko sawa kabisa...
Nitakitafuta Insha-Allah.
Nione yaliyomo...
Sisi wa mkoani tukilipia tutakipataje ?..
Economist,Nashukuru sana Rais wa Kwanza wa Tanzania alikuwa mkristo la sivyo Hawa waislamu wangetutesa sana. Leo tu Rais muislamu wameleta vikundi vya chui na mbwa mwitu. Very stupid people.
Watu wanakujua mzee wangu...Economist,
Hayo usemayo hayana uhusiano wowote na kalamu yangu na sijui kwa nini unayaleta kwenye uzi huu.
Nyakubonga,Watu wanakujua mzee wangu...
Watu wanajua kila unachokileta hapa ni kuhusu dini yako na watu wake...
Huna haja ya kuwafundisha mzee...
Halafu kutokujua kwamba uandishi wako unahamasisha Udini, nakua na wasiwasi na busara yako mzee au ndio Unafiki?
Who the *** was this guy! Islamist!?Hapa jamvini kumekuwa na mjadala mkali kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika.
Watu wengi wamekuwa wakiniuliza kitabu kitapatika lini baada ya kuwa "out of print" kwa muda mrefu.
Nina furaha kuwafahamisha kitabu cha Abdulwahid Sykes kimewasili nchini na kwa sasa kinapatika Ibn Hazm Media Center Msikiti wa Manyema.
Mipango inafanyika In Shaa Allah kukitawanya kwenye maduka yao mengine Msikiti wa Mtoro, Mtambani na Kichangani.
View attachment 3623969
Mzee,Hapa jamvini kumekuwa na mjadala mkali kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika.