Kitabu Cha Abdulwahid Sykes Kimewasili

Kwa nini kitabu cha ki secular kinauzwa msikitini??
 
Mzee,

Wewe wazee wako hawakuwa na Jina la Ukoo.

Maana naona unaitwa Mohamed Said, majina ya Kiarabu.

Jamii yako haikuwahi kuwepo kabla ya ujio wa Mwarabu??

Maana tunajua Wazarami, Wanayakyusa, Wadengereko, Wamatumbi walikuwa na majina yao.
Mpwimbe,
Hili la majina ya wazee wangu na Uarabu yana uhusiano gani na mjadala huu?

Naweza kukupa majina ya vizazi saba nyuma hadi kwa wazee kutoka Manyema, Congo.
 
Mpwimbe,
Hili la majina ya wazee wangu na Uarabu yana uhusiano gani na mjadala huu?

Naweza kukupa majina ya vizazi saba nyuma hadi kwa wazee kutoka Manyema, Congo.
Kumbe kwenu Kigoma?

🤣🤣🤣🤣

Watu wa Kigoma ni changamoto sana
 
Kumbe kwenu Kigoma?

🤣🤣🤣🤣

Watu wa Kigoma ni changamoto sana
Mpwimbe,
Hapana mimi ni Mmanyema lakini nimezaliwa Dar es Salaam na wala sijapata kufika Kigoma.
 
Unawapambia waislamu ili ionekane kuwa wana mchango mkubwa sana katika upatikanaji wa uhuru..
Hapo unaleta udini mkuu..
 
Kwanza kwanini kiunauzwa msikitini?
Kashang...
Nimejibu hili swali mara nyingi kuwa kitabu hakiuzwi misikitini kitabu kipo katika maduka ya Ibn Hazm Media Center na halikadhalika Mkuki na Nyota, Samora Avenue.

Cathedral Bookshop ni duka la vitabu la Wakatoliki ndiyo tuseme vitabu vinauzwa makanisani?
 
Kwa Mzee Mohammed jambo likifanywa na Mwislamu ni la Mwisalamu ila likifanywa na wa imani nyingine ni la Watanganyika wote.

Kwanini wakina Mzee Sykes tusiwatambue kama wapigania Uhuru na waasisi wa hili Taifa badala ya kuwabrand kama watu wa dini? Kuna ubaya gani Sheikh wangu?
 
Unawapambia waislamu ili ionekane kuwa wana mchango mkubwa sana katika upatikanaji wa uhuru..
Hapo unaleta udini mkuu..
Kashang...
Bahati mbaya kwa mwenye kudhani ipo faida katika kufuta mchango wa Waislamu katika kupigania uhuru.
 
Chuo gan au coz gani gani chuoni wanatumia icho kitabu cha abdul skys cjui?
 
Kinauzwa misikitini; means, walengwa wanunuzi ni Waislamu.
 
Kinauzwa misikitini; means, walengwa wanunuzi ni Waislamu.
Blue...
Kitabu hiki kina miaka 28.
Kimetoka kwa Kiingereza mara ya kwanza 1998.

Unakiuza msikiti gani ulio na wasomaji wa Kiingereza?

Tafsiri ikafanywa mwaka wa 2002 na kitabu kikachapwa
na Phoenix Publishers, Nairobi.

Kuanzia hapa kitabu hiki kikaanza kupata umaarufu na ndiyo
leo tunatazama mbele toleo la tano.

Kitabu hakiuzwi misikitini lakini ikiwa mnapenda iwe hivyo mbona
mimi nashukuru kwa kuwa mmekipa kitabu ''publicity'' kubwa na
ya bure.

Lakini nadhani unajua kuwa pale Kanisa la Mtakatifu Joseph kuna
Cathedral Bookshop.

Kitabu cha Padri Sivalon kikiuzwa Cathedral Bookshop.
Je vitabu vinauzwa kanisani na kanisa?
 
Kwanini kinauzwa misikitini tu ,badala ya maduka ya vitabu vya wazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…