KITABU CHA ADVANCED LEVEL CHEMISTRY E.N. Ramsden, FOURTH EDITION KINAUZWA!!

Jomla

Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
79
Reaction score
69
Ni kitabu cha advance kwa wale wanaosoma chemistry ambacho kina topic zote za advance,yaani;
-General chemistry
-Physical chemistry
-Inorganic chemistry
-Organic chemistry
Pamoja na maswali ya kutosha yanayopendwa na watunzi mbalimbali akiwamo mwalimu wako wa darasani pamoja na Baraza la mitihani.Ni kama kipya kwani hakija tumika.
Dukani kinauzwa zaidi ya sh.50000 lakini mimi nitakuuzia sh.25000 tu. Mimi nipo Arusha! Kwa mawasiliano ni Pm! KARIBU TULIJENGE TAIFA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…