Allan Quarteman ninacho cha kiingerezaKwanza asante kwa kitabu hiki, viko series ni vitabu vine, kuna kitabu cha kwanza hadi cha nne.
Tunashukuru kwa hiki, tupatie na vingine vitatu.
Sasa bado natafuta
Natanguliza Shukrani.
- Hekaya za Abunuwas
- Mwarabu na Binti Yake
- Hadithi za Kiyunani
- Allan Quoterman
- Mashimo ya Mfalme Suleiman
Paskali
Vipo kama saba hivi mkuuu..data umekitoa wapi hikiWale waliokuwa wanakihitaji kitabu cha ALFU LELA ULELA mzigo huo
Natafuta sana Rwanda Magere
Nenda SAMORA AVENUE vipo konk hela yako tuKwanza asante kwa kitabu hiki, viko series ni vitabu vine, kuna kitabu cha kwanza hadi cha nne.
Tunashukuru kwa hiki, tupatie na vingine vitatu.
Sasa bado natafuta
Natanguliza Shukrani.
- Hekaya za Abunuwas
- Mwarabu na Binti Yake
- Hadithi za Kiyunani
- Allan Quoterman
- Mashimo ya Mfalme Suleiman
Paskali
Daaah nilikuwa nakitafuta sana ndg, halafu naona kimeishia kurasa ya 26, vipi muendelezo wake unao?Wale waliokuwa wanakihitaji kitabu cha ALFU LELA ULELA mzigo huo
Ubarikiwe sana mkuuWale waliokuwa wanakihitaji kitabu cha ALFU LELA ULELA mzigo huo
Page 26
"kisiwa chenye hazina"Mkuu asante sana kwa kushea hiki kitabu.
Pia natafuta vitabu vifuatavyo
Mashimo ya mfalme suleman
Kisiwa chenye hazina
Hekaya za Abunuasi
Nikivipata hivyo nitashukuru sanaaaa!!!
HakikaHawez kuwa wa miaka ya 90s afu asielewe nini alfu ulela ulela au za abunuasi. Watu wa 90s tumepata vitu vya previous generations. Hakukua na iphones wala samsung. Ikifika usiku izi ndo story tulokuwa tukipewa
barikiwa sanaWale waliokuwa wanakihitaji kitabu cha ALFU LELA ULELA mzigo huo
Wale waliokuwa wanakihitaji kitabu cha ALFU LELA ULELA mzigo huo
Ninavyo mimics soft copyMkuu asante sana kwa kushea hiki kitabu.
Pia natafuta vitabu vifuatavyo
Mashimo ya mfalme suleman
Kisiwa chenye hazina
Hekaya za Abunuasi
Nikivipata hivyo nitashukuru sanaaaa!!!
Naomba uvipandishe hapaNinavyo mimics soft copy