joseph_mbeya
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,123
- 2,935
Core Genius ni kitabu kinachotufundisha jinsi ya kugundua na kutumia kipaji chetu cha kipekee ili kufanikisha maisha yetu binafsi na ya kitaaluma. Joel Nanauka anafafanua kuwa kila mtu anayo “Core Genius,” yaani uwezo wa kipekee ulio ndani yetu ambao, tukiuendeleza, unaweza kutufikisha kwenye viwango vya juu vya mafanikio.
lakini
Nimerealize kwamba kwenye kila aina ya Core Genius kuna kitu ambacho nawiana nacho moja kwa moja au kwa namna fulani.
• Verbal-Linguistic – Nimegundua kuwa na uwezo mzuri wa kutumia maneno kueleza mawazo na kushawishi watu.
• Logical-Mathematical – Napenda kuchambua mambo kwa undani na kutumia mantiki kufanya maamuzi.
• Visual-Spatial – Naweza kufikiri kwa picha na kuelewa vizuri mambo kwa mtazamo wa kuona.
• Bodily-Kinesthetic – Nina uwezo wa kutumia mwili wangu kwa njia inayosaidia katika kufanya mambo kwa ufanisi.
• Musical-Rhythmic – Nimekuwa na uelewa mzuri wa midundo na muziki, hata kama si mtaalamu.
• Interpersonal – Najua jinsi ya kushirikiana na watu, kuelewa hisia zao, na kujenga mahusiano mazuri.
• Intrapersonal – Ninajitambua na kuelewa hisia na malengo yangu binafsi.
• Naturalistic – Ninahisi kuna uhusiano mzuri kati yangu na mazingira ya asili.
Kwa hiyo, nimeona kuwa sina Core Genius moja pekee, bali nimejigundua kuwa na vipengele vingi kwa viwango tofauti.
Sasa je, wataalam wa haya mambo, mna lipi la kuchangia?
Maana kuna muda tunashauriwa kusoma na vitabu vya waandishi wazawa