Kitabu cha economics kidato cha tano na sita hiki hapa

Daniel Anderson

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Posts
872
Reaction score
141
wakuu napenda kuwatangazia rasmi kuwa kitabu cha somo la economics kwa advanced level katika syllabus mpya kimekamilika. Tafadhal, kwa mawasiliano tuwasiliane kwa simu namba 0767122662 au 0654047387
 

Attachments

  • page0001.jpg
    190.2 KB · Views: 1,003

Nashukuru mkuu kwa maoni yako. Je umekifungua kupata kontent? Au umejaji kwa kava lake? Nakuhakikishia ukisoma yaliyomo ndani utawanunulia hata ndugu zako.

Halafu kuhusu picha kuwepo nyingi siyo hoja. hoja ni je hakisadifu yaliyoanndikwa? Soma kitabu cha principles of economics cha Mankiw au Lipsey uone picha na graphics zilizomo. Usiogope picha ndugu yangu. Pia kuhusu Ambilikile siwezi kumzungumzia, ila fanya ulinganifu wa kazi hiyo kwa uhalali uone tofauti.
 
Sawa mheshimiwa mwandishi mimi ntakinunua kukupa moyo ingawa najua wazi kuwa vitabu vingi hasa vinavyo pambwa sana kwenye front page huwa ni mbwembwe tu na havina kitu vya msingi ndani yake. Sitaweza kuconclude kuwa na chako ni type iyo ila kwa maandishi tu nilivyoyaona hapo kwenye cover ya mbele ni yanaonesha wazi kuwa hiki kitabu ni notes tu za mwanafunzi zimekuwa typed na zimekuwa printed na kuuzwa mtaani.

Kwa kifupi nakupongeza kwakuwa mjasiria mali ila ntakinunua hiki kitabu na ntakupa pongezi kama kikiwa safi na nitatoa comments kama kinamatatizo...ninaongea kama kijana ninaesoma degree ya uchumi UDSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…