Kitabu cha Enoch kinawataja malaika 200 walioasi ambao ndio waliiba Siri na teknolojia za mbinguni kisha wakamfundisha Binadamu

Sasa kwanini huyo malaika amefanya tuje kuishi maisha magumu kiasi hichi duniani, nilidhani shetani ndiye aliye fanya eva na Adam wale tunda,kumbe ni malaika wa Mwenyezi Mungu.
Au nime elewa vibaya

Kîla kitû NI cha mwenyezi Mungu Kiwe kizuri au kibaya
 
Tunawasema wazungu na ngozi nyeupe wengine kuwa ni uzao wa majini/malaika waasi ila na sisi ngozi nyeusi tukiitwa na hao wazungu kuwa ni manyani/uzao wa manyani tunakasirika! Why?

Kwa nini ukasirishwe na mtazamo wa Mwingine juu yako?
 
Kwa nini ukasirishwe na mtazamo wa Mwingine juu yako?
Ni ngumu eh? Ok. Swali. Kwenye hii mada yako umesema ni malaika 200 ndiyo walioasi. Na kwenye maandiko tunaambiwa mbinguni idadi ya malaika ni kubwa kama mchanga wa bahari. Na kwamba Lucifer aliasi na moja ya tatu ya malaika hao. Je, hii 200 uliyotaja ina uhusiano gani na hiyo one third ya malaika wote?
 
Kwa hiyo kwa ufupi ni kwamba kitabu cha Enock ni cha Wayahudi, na hakina uhusiano wowote na kitabu cha Biblia cha Wakristu (maana hakipo humo). Vinginevyo itakuwa sawa na kulazimisha kitabu cha Ellen G. White kiochukuliwe kama ni cha Wakristu, wakati kwa uhalisi ni cha Wasabato
 
kristo na kristu,utofauti wake ni upi, ukiacha utofauti wa maandishi na matamshi?..naomba kueleweshwa tafadhari
 
kristo na kristu,utofauti wake ni upi, ukiacha utofauti wa maandishi na matamshi?..naomba kueleweshwa tafadhari
Hakuna tofauti ya kimaudhui, ni sawa na John, Jean, Giovani na Yahya ambalo ni jina moja tu kimaudhui
 

Wakristo hawana KITABU wamechukua vitabu vya Wayahudi
 
Kwahiyo tangu Samael alipimlaghai mke wa kwanza kabisa wa Adam (Lilith) Mungu akamuangalia tu akaja akamlaghai tena Eva akamzaa Kaini Mungu anamuangalia tu, akaweka mti wa wema na ubaya bustanini Mungu anamuangalia tu, embu dadavua kabla sijaidhinisha kuwa hii ni Kamba ndefu sana🤔
 

Samaeli ni mjaribu mkuu anafanya kazi ya kuzijaribu roho zetu kuona imani kwa Mungu wetu
 
Wazungu watakupa kila kitu ila vitabu vya kale hawakupi hata kidogo , wanakupa vilivyokuwa cloned vile halisi wanavilinda kweny maktaba zao za siri.
Tena kwa ulinzi na usiri wa hali ya juu sana.
 
Waweza kuwa sahihi mkuu, ila miaka ya 2010, hizi habari za Nibiru na Planet X zilivuma sana, tukiaminishwa kuwa doomsday imekaribia. Bahati nzuri haikutokea. Kumbe ulikuwa uzushi tu.

Sina uhakika kama hizo habari ni kweli au la. Kama siyo, basi hiyo induced singularity uliyoisema, itaweza kutokea pale galaxy yetu ya Milky Way itakapo-merge na galaxy ya Andromeda, ambayo kwa mujibu wa wanasayansi, hizi galaxy mbili zinazidi kusogeleana, tukio ambalo linakadiriwa kutokea mabilioni ya miaka ijayo.
 
Hicho kitabu cha Enock nacho? Nahitaji sana Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…