Kitabu cha Enoch kinawataja malaika 200 walioasi ambao ndio waliiba Siri na teknolojia za mbinguni kisha wakamfundisha Binadamu

Kiukweli naona hali harisi ni Kwamba ili upate kukijuwa kitu lazma usi struggle sana yani in short REASONING na ndo maana wana sayansi wengi ukiachana na theory Dhamira yao Kubwa ni kwenye vitendo yaani practice uvumbuzi na vitu kama ivo
Point yangu ni nin tujitahidi sana kwenye udadisi mtanishukuru baadae 💪
 
Tatizo linakuja NI pale hata Sisi tunaoishi Sasa hivi hadithi zetu zikisimuliwa Miaka 2000 ijayo itasemwa NI Fiction stories
Big man tumekuwa tuki halifiwa kuwa hapo kitambo let's say kama miaka 50 nyuma sijataka kwenda mbali sana.
Kwamba mababu zetu mtu alipo Kuwa ni Mgonjwa alikuwa na Uwezo wa kwenda Hospital ambayo ipo umbali wa kilometers 30 na zaidi kwa miguu Kufata matibabu . Je kwa sasa si ukiskia utasema ni fix
 
Kitabu Cha Genesis ni Cha Mussa, tena alikuwa anasimuliwa na MUNGU, yeye huyo alipata wapi vingne hivi! Au vilinyofolewa vikafichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…