Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Nilikua nimeboeka, nikashika kitabu flani cha 'Revision' Historia . Kimegawanywa Form 1 hadi form four.
Kuna mahali pamenifurahisha, upande wa form 1 kuna mahali inataja sababu zinazosababisha ukosefu wa utangamano Kenya... Wako on point kabisa, haswaa wakatii huu...
Kumbe somo la historia ni muhimu, nikiwa shule enzi zile nilikua nikidharau somo la historia kumbe ilikua makosa makubwa sana