Kitabu cha Gamba la Nyoka

Kitabu cha Gamba la Nyoka

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,325
Natafuta kitabu chenye title "Gamba la Nyoka" kilichoandikwa na Profesa Kezilahabi. Tokea CCM kutangaza kujivua gamba hiki kitabu kimeadimika sana kwenye maduka ya vitabu.
 
Tanzania Publishing House-samora Evenue.Jaribu hapo.
 
Ngoja nikaangalie hm, kilikuwepo kwenye shelf, ni kizuri, mambo sasa na mambo leo.
 
Tanzania Publishing House-samora Evenue.Jaribu hapo.

Ilishauzwa zamani gani ijui! Hivi sasa hao walionunua hawana hili wala lile, sidhani hata kama wanakumbukumbu kamili ya vitabu vilivyokwisha chapishwa na TPH......Kama sikosei weshakula hadi mtaji.........
 
Back
Top Bottom