Natafuta kitabu chenye title "Gamba la Nyoka" kilichoandikwa na Profesa Kezilahabi. Tokea CCM kutangaza kujivua gamba hiki kitabu kimeadimika sana kwenye maduka ya vitabu.
Ilishauzwa zamani gani ijui! Hivi sasa hao walionunua hawana hili wala lile, sidhani hata kama wanakumbukumbu kamili ya vitabu vilivyokwisha chapishwa na TPH......Kama sikosei weshakula hadi mtaji.........