...kitabu cha Juma na Roza!

...kitabu cha Juma na Roza!

muwaha

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2009
Posts
740
Reaction score
148
Habari za leo Wakuu!
Naomba kufahamu naweza kupata wapi kitabu cha "Juma na Roza" ili watoto wangu nao wafaidi hadithi zake. Nipo Dar kwa sasa.

Jumapili njema.
 
Habari za leo Wakuu!
Naomba kufahamu naweza kupata wapi kitabu cha "Juma na Roza" ili watoto wangu nao wafaidi hadithi zake. Nipo Dar kwa sasa.

Jumapili njema.

Nenda maeneo ya kisutu kuna maktaba ya mkoa pale. Ingia humo uongee na wahusika watakusaidia.

Halafu mkuu leo siyo jumapili bali ni jumamosi.
 
Thanks mkuu Skype, nitakwenda...sorry nimepitiwa tu leo ni Jumamosi, ubarikiwe sn.
 
Back
Top Bottom