muwaha JF-Expert Member Joined May 13, 2009 Posts 740 Reaction score 148 Jun 22, 2013 #1 Habari za leo Wakuu! Naomba kufahamu naweza kupata wapi kitabu cha "Juma na Roza" ili watoto wangu nao wafaidi hadithi zake. Nipo Dar kwa sasa. Jumapili njema.
Habari za leo Wakuu! Naomba kufahamu naweza kupata wapi kitabu cha "Juma na Roza" ili watoto wangu nao wafaidi hadithi zake. Nipo Dar kwa sasa. Jumapili njema.
S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,633 Jun 22, 2013 #2 muwaha said: Habari za leo Wakuu! Naomba kufahamu naweza kupata wapi kitabu cha "Juma na Roza" ili watoto wangu nao wafaidi hadithi zake. Nipo Dar kwa sasa. Jumapili njema. Click to expand... Nenda maeneo ya kisutu kuna maktaba ya mkoa pale. Ingia humo uongee na wahusika watakusaidia. Halafu mkuu leo siyo jumapili bali ni jumamosi.
muwaha said: Habari za leo Wakuu! Naomba kufahamu naweza kupata wapi kitabu cha "Juma na Roza" ili watoto wangu nao wafaidi hadithi zake. Nipo Dar kwa sasa. Jumapili njema. Click to expand... Nenda maeneo ya kisutu kuna maktaba ya mkoa pale. Ingia humo uongee na wahusika watakusaidia. Halafu mkuu leo siyo jumapili bali ni jumamosi.
muwaha JF-Expert Member Joined May 13, 2009 Posts 740 Reaction score 148 Jun 22, 2013 Thread starter #3 Thanks mkuu Skype, nitakwenda...sorry nimepitiwa tu leo ni Jumamosi, ubarikiwe sn.
S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,633 Jun 22, 2013 #4 muwaha said: Thanks mkuu Skype, nitakwenda...sorry nimepitiwa tu leo ni Jumamosi, ubarikiwe sn. Click to expand... Sawa mkuu kila laheri
muwaha said: Thanks mkuu Skype, nitakwenda...sorry nimepitiwa tu leo ni Jumamosi, ubarikiwe sn. Click to expand... Sawa mkuu kila laheri