Wanajf habari zenu wakali wa lugha?
Naitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kunisaidia kubadilisha kitabu kutoka kwenye lugha ya kuswahili kuwa cha kingereza, sio bure namlipa. Sharti asiwe anabahatisha, kisiwe kile kingereza cha kugongea, n.k coz hata mimi sio haba! Kama unaweza hiyo kazi tuwasiliane kama huwezi pita tu 0679531449. Kama ni ujumbe unama anza na neno "SWAHILI TO ENGLISH" ili tusipishane.