Kitabu Cha Kwa Bamkwe Kinaporuka na Kutua

Kitabu Cha Kwa Bamkwe Kinaporuka na Kutua

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
KITABU CHA KWA BAMKWE KINAPORUKA ANGANI NA KUTUA

Mikono inamtetema.
Hii "tetema," ni msamiati wa sasa.

Sie watu wa kale tunasema mikono inamtetemeka.

Kwa nini nasema mikono inatetemeka kwa sababu angalia anavyoifungua bahasha.

Bahasha ina namna yake ya kuifungua
Ndugu yetu hakufungua bahasha bali kaichana.

Naona moyo ukimwenda mbio na usiku usingizi haukuwa unamjia sawasawa.

Akikesha.
Kisa chake nini?

Kanunua kitabu mtandaoni sasa anakisubiri wamletee.

Alikuwa anakisubiri kitabu cha Ibrahim Hussein Mohammed: "Baraza ya Majestic na Machinjioni kwa Bamkwe."

"The eagle has landed."
Tai katua mtini.

 
Back
Top Bottom