Kitabu cha Mafunzo ya Wizi

Kwa heshima na taadhima,naomba na mimi niwe mmoja ya wachache walio comment katika uzi huu wa miaka nane iliyopita.
Asanteni.
 
Nadhan kuna ntu alkua anatafta

Mbinu za kuiba googke wakamdirect jf

Ndo uzi umefufuka hahaha dah
Yaani kuna Mtu anataka kujifunza kuiba Google Search engine Waka Direct Jamii Forums?Maneno yako kama vile yana ukweli ndani yake!!!!1
 
Hiki kitabu hapa Bongo kingepata wateja wengi sana endapo Mh Rais angeacha kikokotoo cha asilimia 25. Hata mimi ningenunua. Teh teh teh.
 
Kuna mbinu ya kuingia ndan kwa mtu bila kuonekana nishaingia sana magogon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…