Kitabu cha Maisha ya Mufti Sheikh Hassan bin Ameir (1880 - 1979)

Kitabu cha Maisha ya Mufti Sheikh Hassan bin Ameir (1880 - 1979)

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
KITABU CHA HISTORIA YA MUFTI SHEIKH HASSAN BIN AMEIR (1880 - 1979)

Sijapatapo kuandika chochote kuhusu Sheikh Hassan bin Ameir nikaacha kulengwalengwa na machozi.

Hamu kubwa ya Sheikh Hassan bin Ameir ilikuwa kujenga Chuo Kikuu Cha Waislam.

Hili halikutokea.

EAMWS iliyochukua jukumu la kujenga chuo hicho ikavunjwa wakati tayari jiwe la msingi limeshawekwa na Rais wa Tanzania Julius Kambarage Nyerere.

Sheikh Hassan bin Ameir akakamatwa usiku wa manane na kurudishwa Zanzibar.

Sheikh Hassan bin Ameir akapigwa marufuku kutia mguu Tanzania Bara.

Serikali ikaunda BAKWATA iwe badala ya EAMWS.

Kitabu hiki kinaeleza maisha ya Sheikh Hassan bin Ameir na mchango wake katika kupigania uhuru wa Tanganyika na yaliyotokea baada ya uhuru kupatikana mwaka wa 1961.

1729190149997.jpeg

1729190190561.jpeg
 
Dudu...
Kinapatikana Ibn Hazm Media Centre Msikiti wa Mtambani bei 10, 000.00.
Mzee Mohamed asante Kwa habari hizi tatizo langu ni kuwa anasema location utafikiri wote tunajua ulipo huo msikiti ,taja mji,au mtaa tutaelewa
 
Mzee Mohamed asante Kwa habari hizi tatizo langu ni kuwa anasema location utafikiri wote tunajua ulipo huo msikiti ,taja mji,au mtaa tutaelewa
Kimbe...
Samahani.
Kinondoni Dar es Salaam uliza Msikiti wa Mtambani.
 
Back
Top Bottom