mie naomba elimu kwa mpiga kura ijumuishe kwanini, kwa vipi, tunawachagua watu kwa kura kuwa wawakilishi wetu, na pia kwa nini na kwa vipi tunawatoa watu kuwa wawakilishi wetu,
yani tunawachagua vipi, na tunawatoa vipi, elimu hii isiachanishwe, kwa sasa watu tunajua jinsi ya kwenda kwenye mikutano ya kampeni, tunajua jinsi ya kupiga kura, na umuhimu wake, lakini jinsi ya kujiorganise, jinsi ya kufanya vitu vya kuzingatia wakati tunataka kuwatoa kwenye hizo nafasi?
kwa sasa nataka utaratibu wa haki kabisa wa kumtoa madarakani raisi wetu,