Kitabu cha Namna ya Kufuzu Robo Fainali Yanga Sc Wajipatia copy yao

msiwe sana slaves wa simba na yanga mpira wa miguu upo rigged tayar ni kama mieleka mnashabikia mechi ambayo wachezaji tayar wanajua matokeo .
 
msiwe sana slaves wa simba na yanga mpira wa miguu upo rigged tayar ni kama mieleka mnashabikia mechi ambayo wachezaji tayar wanajua matokeo .
Umeona eeh ukimuangalia Azizi Ki na goli kipq ndo wachezaji pekee waliokuwa na hamasa ya kushinda kwsbb wanataka kuitwa national team .ila wengne wote mazwazwa.Bongo shida sana
 
Mpaka muda huu wale viherehere wa kuanzisha nyuzi za updates wamechimba kama Mbowe

Kwasababu most of e'm ni Gongowazi na bado vidonda ni vibichi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…