Kitabu cha sheria za barabarani

pisces

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
240
Reaction score
61
Habari zenu wadau,

Naomba mwenye kitabu cha kielektroniki chenye sheria za barabarani anisaidie. kikiwa na picha na michoro itakua vema zaidi.

JF daima.

 
habari zenu wadau
naomba mwenye kitabu cha kielektroniki chenye sheria za barabarani
anisaidie. kikiwa na picha na michoro itakua vema zaidi.
jf daima.

Hiki ndio Kitabu cha sheria/Kanuni za barabarani za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,za mwaka 2008,

Hizi zitakusaidia kuelewa kanuni za barabara vizuri,mimi ninaona watu wanaoendesha magari hapa Dar bila kufuata sheria za barabarani,utaona mtu anavuka kwenye taa zikiwa zimeonyesha "RED"au anampigia honi mwenzake ambaye anafuata kanuni za barabarani,

Soma zikusaidie

Elisante Yona
 

Attachments


sante sana mkuu
 
Ahsante mkuu
 
MimiKijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…