Omnilabeltech
JF-Expert Member
- Jul 26, 2026
- 533
- 845
Kitabu muhimu sana.Nimesoma kitabu Treasury of Truth: The Dhammapada, kinachohusishwa na mafundisho ya Buddha, na kuna jambo limenivutia: adui mkubwa wa mwanadamu wakati mwingine ni akili yake mwenyewe.
Kitabu hiki kinafundisha kuhusu kudhibiti mawazo, hasira, tamaa, kuacha chuki, kujitawala na kuelewa kwamba kila tendo lina matokeo.
Kinakufanya ujiulize: Je, tunaumia zaidi kwa sababu ya mazingira yetu au kwa sababu ya namna tunavyofikiri na kuitikia mambo yanayotupata?
Swali kwa wanaJF: Ni kweli kwamba mtu akijifunza kuitawala akili yake, tamaa na hisia zake anaweza kubadilisha maisha yake kwa kiwango kikubwa? Au mazingira yana nguvu kuliko uwezo wa mtu kujitawala?
NB anae taka kitabu aje PM free tu nitakituma
Kitabu muhimu sana.
Nilikipenda mpaka kukitafsiri kwenda Kiswahili Buddhist Temple and Meditation Center Upanga, Dar es salaam Tanzania nikiwa nafanya kazi na Rev. Pannasekara.
Nimekucheki pm mkuuNimesoma kitabu Treasury of Truth: The Dhammapada, kinachohusishwa na mafundisho ya Buddha, na kuna jambo limenivutia: adui mkubwa wa mwanadamu wakati mwingine ni akili yake mwenyewe.
Kitabu hiki kinafundisha kuhusu kudhibiti mawazo, hasira, tamaa, kuacha chuki, kujitawala na kuelewa kwamba kila tendo lina matokeo.
Kinakufanya ujiulize: Je, tunaumia zaidi kwa sababu ya mazingira yetu au kwa sababu ya namna tunavyofikiri na kuitikia mambo yanayotupata?
Swali kwa wanaJF: Ni kweli kwamba mtu akijifunza kuitawala akili yake, tamaa na hisia zake anaweza kubadilisha maisha yake kwa kiwango kikubwa? Au mazingira yana nguvu kuliko uwezo wa mtu kujitawala?
NB anae taka kitabu aje PM free tu nitakituma
Hongera Mkuu.Kitabu muhimu sana.
Nilikipenda mpaka kukitafsiri kwenda Kiswahili Buddhist Temple and Meditation Center Upanga, Dar es salaam Tanzania nikiwa nafanya kazi na Rev. Pannasekara.
Nimekucheki pm mkuu
Sina nakala ya softcopy, ila pale Buddhist Temple wanaweza kuwa nazo.Kwa kweli kitabu kizuri sana kama unakala ya softcopy au hardcopy ya kiswahili nakiomba , kilicho baki ni kuyaishi mafundisho yake tu humo unaona vitu vingi vinavyo tokea kwenye maisha Mungu hahusiki ni akili zetu
Hongera Mkuu.
Hard copy inapatikana?
Kwa njia gani?
Nitashukuru!Mm nina soft copy tu nichek nikutumie utaenda kukitoa copy
Sina nakala ya softcopy, ila pale Buddhist Temple wanaweza kuwa nazo.
By the way wana (walikuwa na at least) library kubwa ya bitabu vingi.
Moja ya uzuri wa Dhammapada ni kitabu kidogo, chenye mafundisho ya moja kwa moja yasiyo na falsafa ngumu sana.
Kwa Kiingereza kuna vitabu vingi vya soft copy, pamoja na Dhammapada, vipo katika mtandao wa Buddhanet.
BuddhaNet eBooks: Welcome
BuddhaNet - Buddhist Information and Education Network: Buddhist Studies, World Buddhist Directory, BuddhaZine - Online Magazine. Insight Meditation Online, eBooks on Buddhism.www.buddhanet.net
Tafuta na hivi:Nimesoma kitabu Treasury of Truth: The Dhammapada, kinachohusishwa na mafundisho ya Buddha, na kuna jambo limenivutia: adui mkubwa wa mwanadamu wakati mwingine ni akili yake mwenyewe.
Kitabu hiki kinafundisha kuhusu kudhibiti mawazo, hasira, tamaa, kuacha chuki, kujitawala na kuelewa kwamba kila tendo lina matokeo.
Kinakufanya ujiulize: Je, tunaumia zaidi kwa sababu ya mazingira yetu au kwa sababu ya namna tunavyofikiri na kuitikia mambo yanayotupata?
Swali kwa wanaJF: Ni kweli kwamba mtu akijifunza kuitawala akili yake, tamaa na hisia zake anaweza kubadilisha maisha yake kwa kiwango kikubwa? Au mazingira yana nguvu kuliko uwezo wa mtu kujitawala?
NB anae taka kitabu aje PM free tu nitakituma
Kinafundisha kuwa tajiri ndiyo kiwango cha juu cha furaha?Nimekisoma naelekea kuwa tajiri
Nimekisoma naelekea kuwa tajiri
Tafuta na hivi:
1. Analects: ways and its power
2. Liao Fans four lessons: you can change your destiny
Kinafundisha kuwa tajiri ndiyo kiwango cha juu cha furaha?
Sina nakala ya softcopy, ila pale Buddhist Temple wanaweza kuwa nazo.
By the way wana (walikuwa na at least) library kubwa ya bitabu vingi.
Moja ya uzuri wa Dhammapada ni kitabu kidogo, chenye mafundisho ya moja kwa moja yasiyo na falsafa ngumu sana.
Kwa Kiingereza kuna vitabu vingi vya soft copy, pamoja na Dhammapada, vipo katika mtandao wa Buddhanet.
BuddhaNet eBooks: Welcome
BuddhaNet - Buddhist Information and Education Network: Buddhist Studies, World Buddhist Directory, BuddhaZine - Online Magazine. Insight Meditation Online, eBooks on Buddhism.www.buddhanet.net
Mkuu kama ikikupendeza kipandishe hapa kwenye uzi wakoMm nina soft copy tu nichek nikutumie utaenda kukitoa copy