Omnilabeltech
JF-Expert Member
- Jul 26, 2026
- 533
- 845
- Thread starter
-
- #61
mbn kipo
hekima inaonekana. na vijana kukaa na wazee sindio yale mambo ya wajapani yanatokea kuna mengi inaonyesha umeficha hapa.
mbona kila kitu kiko hapa?
Kama ilivyo kwenye kichwa cha habari.
DINI RASMI INAITWA THE OMNITHEISTIC SINGULARITY JINA LA MUNGU NA KITABU KIKUU NI OMNIPOTENT SINGULARITY. THE OFFICIAL RELIGION IS CALLED THE OMNITHEISTIC SINGULARITY; THE NAME OF GOD AND THE SUPREME BOOK IS OMNIPOTENT SINGULARITY
THE OMNITHEISTIC SINGULARITY: Mfumo Mpya na wa Milele wa Kiroho Umezaliwa Rasmi Kutoka Tanzania,Africa Ukiongozwa na Mungu na Kitabu cha OMNIPOTENT SINGULARITY! Kwa kiingereza THE OMNITHEISTIC SINGULARITY: The Final Eternal Order is Born fromTanzania, Africa, Dictated by the Omnipotent Singularity!
Nje ya Mipaka...
- IIT MWASISI OS
- dini rasmi jina la mungu mshana jr mungu omnipotent singularity
- Replies: 211
- Forum: Jamii Intelligence
mkishasoma vya watu wa india mnachanganyikiwa na kuamini amna Mungu na vya wenyeji au wazawa wa nchi mnayoishi mnaviruka tokeni kwenye hiyo MENTAL SLAVERY

WW soma kitabu changu utaelewa kituKwenye hicho kitabu hakuna mambo ya Mungu kisome utajifunza kitu
Kama hutojali na hakuna kizuizi kiweke hapa ili wengi zaidi wapate maarifa.
Kwa experience yako nakubaliana na wewe asilimia 85... nilishawahi kufanya forex nikafail vibaya sababu ya greed, pia deal au michongo yangu mingi mikubwa ilibuma sababu ya kuwa na kitete sikutuliza akili..
Deals zote nilizofanya basi tu ndio zilikuwa zinatick.
Mkuu naomba unitumie na mimi hicho kitabu pm, natanguliza shukranMm nina soft copy tu nichek nikutumie utaenda kukitoa copy
WW soma kitabu changu utaelewa kitu
Mkuu naomba unitumie na mimi hicho kitabu pm, natanguliza shukran
hujaona linkSawa tunakipata wapi?
Nilikuwa nakaa na wazee wenye busara, halafu wao wananiambia mimi ni kama mzee mwenye busara kuzidi wao.😀Hiki kitabu nilikuwa nakisoma napata peace moja kubwa sanaa.
Nilikuwa nakaa na wazee wenye busara, halafu wao wananiambia mimi ni kama mzee mwenye busara kuzidi wao.
Kwa maongezi yaliyoongozwa na aya za hiki kitabu.
Nyumbani kuna wakati walikuwa hawaelewi Buddhism ni nini, wakawa wanaona kama uchawi (wao ni Wakristo sana, wengine walokoke).
Sasa kuna Auntie yangu mmoja akakikuta hiki kitabu nakisoma, akakisoma kidogo tu.
Akasema hiki kitabu unachokisoma ni kizuri sana, kina mafundiaho mazuri sana, na sasa ninaelewa kwa nini unapenda kwenda Buddhist Temple.
Walikuwa kama wanapinga mimi kwenda Temple, lakini baada ya kusoma Dhammapada, walinielewa sana.
Hawakujua ya kwamba wewe ni Mpagani?!Hiki kitabu nilikuwa nakisoma napata peace moja kubwa sanaa.
Nilikuwa nakaa na wazee wenye busara, halafu wao wananiambia mimi ni kama mzee mwenye busara kuzidi wao.
Kwa maongezi yaliyoongozwa na aya za hiki kitabu.
Nyumbani kuna wakati walikuwa hawaelewi Buddhism ni nini, wakawa wanaona kama uchawi (wao ni Wakristo sana, wengine walokoke).
Sasa kuna Auntie yangu mmoja akakikuta hiki kitabu nakisoma, akakisoma kidogo tu.
Akasema hiki kitabu unachokisoma ni kizuri sana, kina mafundiaho mazuri sana, na sasa ninaelewa kwa nini unapenda kwenda Buddhist Temple.
Walikuwa kama wanapinga mimi kwenda Temple, lakini baada ya kusoma Dhammapada, walinielewa sana.
Mpagani maana yake ni nini?Hawakujua ya kwamba wewe ni Mpagani?!
ila ungefanya jambo jema kwa kushare hapa soft copy utakuwa umesaidia wengi kiukweli na kututimiza moja ya matendo ya wema kutokana na ulicho jifunza mkuu🙏Mm nina soft copy tu nichek nikutumie utaenda kukitoa copy
ila ungefanya jambo jema kwa kushare hapa soft copy utakuwa umesaidia wengi kiukweli na kututimiza moja ya matendo ya wema kutokana na ulicho jifunza mkuu🙏
Mpagani maana yake ni nini?
Unaijua maana yake au unatumia hilo neno kama mtu mjinga tu?
Mkuu nashindwa kukuona pmNitashukuru!
Mkuu weka soft copyHiki kitabu nilikuwa nakisoma napata peace moja kubwa sanaa.
Nilikuwa nakaa na wazee wenye busara, halafu wao wananiambia mimi ni kama mzee mwenye busara kuzidi wao.
Kwa maongezi yaliyoongozwa na aya za hiki kitabu.
Nyumbani kuna wakati walikuwa hawaelewi Buddhism ni nini, wakawa wanaona kama uchawi (wao ni Wakristo sana, wengine walokoke).
Sasa kuna Auntie yangu mmoja akakikuta hiki kitabu nakisoma, akakisoma kidogo tu.
Akasema hiki kitabu unachokisoma ni kizuri sana, kina mafundiaho mazuri sana, na sasa ninaelewa kwa nini unapenda kwenda Buddhist Temple.
Walikuwa kama wanapinga mimi kwenda Temple, lakini baada ya kusoma Dhammapada, walinielewa sana.
Nimeweka library nzima hapa.Mkuu weka soft copy
Tupate madini
Sina nakala ya softcopy, ila pale Buddhist Temple wanaweza kuwa nazo.Kwa kweli kitabu kizuri sana kama unakala ya softcopy au hardcopy ya kiswahili nakiomba , kilicho baki ni kuyaishi mafundisho yake tu humo unaona vitu vingi vinavyo tokea kwenye maisha Mungu hahusiki ni akili zetu